IQNA – Mufti Mkuu wa al-Quds na Maeneo ya Palestina ametoa wito wa kukusanywa kwa nakala za Qur'ani ambazo hazijaidhinishwa rasmi.
Habari ID: 3480574 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/21
IQNA- Kikao cha kumi na nne cha kila wiki cha Tafsiri ya Qur'anI katika Msikiti wa Al-Azhar nchini Misri kitafanyika kwa mada "Msikiti wa Al-Aqsa katika Quran".
Habari ID: 3480536 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13
Quds Tukufu hatarini
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Jordan imetahadharisha kuhusu kushadidi hatua za utawala wa Kizayuni zenye lengo la kueneza Uyahudi katika maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3479392 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07
Kadhia ya Palestina
Makumi ya maelfu ya waumini walifanya sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al-Aqsa, licha ya vikwazo vilivyowekwa na majeshi ya utawala katili wa Israel.
Habari ID: 3479157 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/20
Kadhia ya Palestina
Makundi ya kisiasa na kijamii ya Palestina yamepongeza uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kutazama ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu na Israel la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kuwa haramu na kinyume cha sheria.
Habari ID: 3479153 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/20
Jinai za Israel
IQNA – Utawala ghasibu wa Israel umegeuza mji unaokaliwa kwa mabavu wa al-Quds (Jerusalem) kuwa eneo la kijeshi kwa kisingizio cha kufanikisha mjumuiko wa kichochezi unajulikana kama "maandamano ya bendera". Mjumuiko huu umepengwa jumuiya za kikoloni siku ya Jumatano.
Habari ID: 3478929 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/04
Kadhia ya Palestina
IQNA- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza katika taarifa yake kwamba, mji wa Quds (Jerusalem) ni sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Palestina na mji mkuu wa Dola ya Palestina, na eneo lote la Msikiti wa Al-Aqsa ni makhsusi kwa ajili ya ibada ya Waislamu tu.
Habari ID: 3478525 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16
Jinai za Wazayuni
IQNA - Lawama zimeongezeka baada ya utawala ghasibu wa Israel kuweka vizuizi katika milango mitatu ya kuelekea Msikiti wa Al-Aqsa katika eneo la Quds (Jerusalem) Mashariki linalokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478516 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/15
Jinai za Israel
IQNA - Waziri wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo mikali ya chuki amesema mwezi mtukufu wa Ramadhani unapaswa 'kufutwa' ili kuepusha taharuki katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3478440 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/02
AL-QUDS (IQNA) - Utawala wa Kizayuni wa Israel umeweka kwa walimu wa kike wa Qur'ani Tukufu katika Msikiti wa Al-Aqsa huko Al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3477935 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/23
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Vikosi vya Israel vimewabana waumini wa Kiislamu wa Kipalestina katika kitongoji cha Wadi Al-Joz mjini Al Quds (Jerusalem), na kuwazuia kufika Msikiti wa Al-Aqsa kwa ajili ya Sala ya Ijumaa ya kila wiki.
Habari ID: 3477795 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/27
Kadhia ya Palestina
AL-QUDS (IQNA) - Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa al-Quds (Jerusalem) ni mahali pa ibada kwa Waislamu peke yao na ni haki takatifu isiyopingika kwao, mkuu wa Kamati ya Juu ya Rais ya Masuala ya Kanisa huko Palestina alisema.
Habari ID: 3477628 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/20
Ukombozi wa Palestina
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kutaka kuweko harakati ya kimataifa ili kuunga mkono muqawama na mapambano ya wananchi wa Palestina na kuhitimisha uvamizi na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
Habari ID: 3476867 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/14
Azimio la Siku ya Kimataifa ya Quds
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya leo ya Siku ya Kimataifa ya Quds wametangaza kuwa Umoja ndio ufunguo wa kushinda njama za ubeberu wa kimataifa.
Habari ID: 3476865 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/14
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kiislamu na Kikristo inayounga mkono Quds Tukufu (Jerusalem) na Matukufu yake imetoa wito wa kuuwajibisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwa jinai zake dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3476845 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/11
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Mamia ya Wapalestina wakazi wa mji wa Al Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel wameanzisha kampeni ya kuusafisha Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa sambamba na kukaribia mwandamo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476728 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/19
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu kuhujumu na kuuvamia Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3476714 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/16
Kadhia ya Quds Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la dini mbalimbali mjini Roma, Italia limesisitiza umuhimu wa uhuru wa kuabudu mjini al-Quds (Jeruslaem) kwa waumini wa dini za Kiislamu, Kikristo na Kiyahudi.
Habari ID: 3476696 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/12
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Afisa mmoja wa Palestina anasema takriban wakazi 13,000 Wapalestina katika mji wa al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu huenda wakalazimika kuyahama makazi yao kutokana na sera za utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3476398 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/13
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiisalmu ya Palestina, Hamas, imetoa wito kwa Wapalestina kuzidisha uwepo wao katika eneo la Msikiti wa Al-Aqsa mjini Al Quds (Jerusalem) ili kulinda eneo takatifu dhidi ya uvamizi wa Israel na njama za kubadilisha hadhi yake.
Habari ID: 3476260 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17